Excellent4.8 out of 5On Trustpilot
  1. Foreign Languages/
  2. Swahili

Bookmark this item

Kumtumaini Yesu - Swahili

by Jr. Christopher Mwashinga

  • Paperback
  • Publisher: Independently Published
  • 15.3 x 22.9 x 1.2 cm

£14.67

Available - Usually dispatched within 5 days

Buying for a school or church? Upgrade to a FREE Eden Plus Account

Bookmark this item

Kitabu hiki cha pekee ni mkusanyiko wa mahubiri ya kusisimua yanayochochea matumaini, faraja na ukuaji kiroho kwa kila mtu--mkubwa na mdogo. Hotuba za pekee zilizobadilisha maisha ya watu wengi Afrika na Amerika Kaskazini zimejengwa katika Biblia, Agano Jipya. Msomaji anapozisoma atapata muonjo wa kile ambacho kiliwafanya maelfu ya watu waliomsikiliza Mchungaji Christopher Mwashinga akihubiri wafurike kumsikiliza. Ni matumaini yetu kwamba msomaji atapata uzoefu mpya kabisa asomapo mahubiri haya na kufurahia utamu wa Neno la Mungu liwaongozao wanadamu katika kumjua Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo aliyemtuma (Yoh. 17:3).
Kumtumaini Yesu - Swahili and Waraka wa Paulo kwa Waefeso
Waraka wa Paulo kwa WaefesoKumtumaini Yesu - Swahili

  • Title

    Kumtumaini Yesu - Swahili

  • Book Format

    Paperback

  • Publisher

    Independently Published

  • Published

    June 2020

  • Weight

    309g

  • Dimensions

    15.3 x 22.9 x 1.2 cm

  • ISBN

    9798653577703

  • ISBN-10

    865357770X

  • Eden Code

    5295319